Zulia Jekundu Episode 232

Your browser doesn’t support HTML5

Tuzo za BET za mwaka 2019 zafanyika, huku zikiacha historia ya kuwa na mavazi ya kuvutia. Rihanna awazingua washabiki wake kwa kuzidua bradi yake ya Fenty , kwa kutumia masanamu yalioumbika na yangi ya watu weusi. Uwanja wa ndege wa Kentucky kubeba jina la Muhammad Ali