Duniani Leo June,27 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Afrika Mashariki kwa siku tatu mfululizo limeshindwa kupitisha bajeti kuu ya jumuiya hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020, na mbunge wa Starehe, nchini Kenya Charles Njagua maarufu kama Jaguar alifikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka yanayo mkabili.