Uganda na China wakutana kuimarisha uhusiano wa kibiashara

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa utekelezaji wa maazimio yaliyofikiwa wakati wa kongamano la ushirikiano kati ya China na Africa – FOCAC, umemalizika mjini Beijing. Rais Xi Jinping ametuma barua ya kupongeza pande zote mbili katika mkutano huo.