Mdahalo wa kwanza wa Democratik kufanyika Florida

Your browser doesn’t support HTML5

Mapambano kwa upande wa chama cha Demokratic kuwania uteuzi wa kugombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2020 leo usiku yanashika kasi kwa mdahalo wa kwanza wa siku mbili ambao utafanyika Miami, Florida kabla ya mikutano na uchaguzi wa awali mapema mwaka ujao