Mbunge wa Kenya Jaguar ahojiwa na polisi

Your browser doesn’t support HTML5

Mbunge Maarufu nchini Kenya Charles Njagua, ambaye pia ni mwanamziki anayejulikana kwa jina Jaguar, anahojiwa na maafisa wa upelelezi kutokana na matamshi yake yanayotajwa kuwa ya kueneza chuki dhidi ya raia wa kigeni wanaofanya shughuli za biashara nchini humo.
Mwandishi wetu wa Nairobi Kennedy Wandera katika mahojiano ya simu na Kennes Bwire.