Balozi wa Marekani Kenya, atembelea Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Marekani nchini Kenya Kyle McCurter amefanya ziara katika Pwani ya Kenya. Amezuru bandari ya Mombasa na kutembelea baadhi ya kampuni na taasisi za wanabiashara wa kimarekani