Duniani Leo June 25, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya mawaziri wamefika mbele ya idara hiyo ya upelelezi na kukanusha madai ya naibu rais wa Kenya William Ruto kupokea vitisho vya maisha yake. Watanzania wametakiwa kuachana na matumizi ya mkaa hasa katika kipindi hiki ambako kuna ongezeko la njia mbadala za kupata nishati ya moto.