Wanawake watakiwa kujiamini

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wametakiwa kujiamini kuwa na uwezo wa kusimamia kazi zinazoleta mabadiliko ya maendeleo katika jamii wakizingatia usawawa kijisnia. Hayo yamesemwa na balozi wa Umoja wa Afrika hapa Marekani Arikana Chihombori Quao, katika kungamano la wanawake lilofanyika mwishoni mwa wiki