Duniani Leo June 24 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani inafuatilia kwa karibu matukio nchini Iran, huku utawala wa Rais Donald Trump ukionekana kuchukua msimamo mkali dhidi ya Tehran. Shambulizi la waasi wa nchini Yemen limeuwa raia mmoja na kujeruhi wengine saba