Wanawake DMV kufanya kungamano Maryland

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake kutoka sehemu mbalimbali duniani wanatarajiwa kukutana kesho katika jimbo la Maryland, Marekani kwa ajili mkutano ambao watajadili masuala yanayohusu kuwezesha na kuwainua wanawake.