Ebola yauwa wawili Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Ebola yaingia Uganda na kusababisha vifo vya watu wawili.wataalamu wa afya wanasema hali hiyo imeonyesha kuna muhimu kuelewa vyema mila na utamaduni wa jamii zinazokabiliana na Ebola ili kuudhibiti ugonjwa huo