Wakimbizi nchini Tanzania waomba kupewa kipaumbele

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi wa kambi ya Nduta , Kigoma Tanzania wameomba kusaidiwa na kupewa kipaumbele katika kutatua matatizo yao.