Watu wawili wamekufa kwa Ebola Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki iliyopita, virusi vya ebola vilivuka mpaka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kuingia nchini Uganda.