Rais Tshsekedi akutana na Rais Magufuli Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Felix Tshsekedi amekamilisha ziara yake nchini Tanzania kwa kutembelea Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kuanzia Dar es salaam kwenda Dodoma pamoja na Bandari ya Dar es salaam