Zulia Jekundu Episode 228

Your browser doesn’t support HTML5

Onyesho jipya 'When They See Us' lapata umaarufu mkubwa. kipindi hiki kinasimulia kuhusu wanaume watano waliohukumiwa kifungo cha jela bila makosa. na Tuzo za Tony zatolewa mjini New York katika ukumbi wa Radio Music.