Uganda inahudumia takriban wakimbizi zaidi ya milioni moja

Your browser doesn’t support HTML5

Uganda ni mwenyeji wa idadi kubwa wa wakimbizi barani Afrika, inahudumia takriban wakimbizi zaidi ya milioni moja, huku theluthi mbii wakiwa wamekimbia mzozo wa nchini Sudan Kusini. Makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka jana yaliongeza matumaini kuwa baadhi ya raia wa Sudan Kusini huenda wangerejea nyumbani