Duniani Leo June 11 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa usalama wa Mali wametoa wito kwa makundi ya kikabila kujizuia baada ya takriban watu 95 kuuwawa watu waliokuwa na silaha . Mzozo wa kibiashara kati ya Marekani na China kuchukua sura nyingine kama rais Trump ataamua kuongezea ushuru wa bidhaa kwa China