Baraza la usalama la amani Afrika laisimamisha Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Mzozo wa kisiasa nchini Sudan unachukua sura mpya baada ya baraza la Amani na usalama la umoja wa Afrika kuisimamisha nchi hiyo katika shughuli za umoja huo hadi pale serikali ya mpito ya kiraia itakapoundwa.