Zulia Jekundu Episode 227

Your browser doesn’t support HTML5

Jay Z ameingia katika kundi la mabilionea duniani, na kuwa mwanamuziki wa kwanza wa Hip hop mwenye sifa hiyo, naye Rihanna amekuwa mwanamuziki kike tajiri duniani. Mchekeshaji Ramy Youssef aelezea kwa nini ametengenza kipindi cha television ambacho kinaangazaia waislam waarabu waishio Marekani.