Hata baada ya uchaguzi jimbo la Beni DRC hali bado si shwari

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wananchi wamelalamika kwa kutopatikana hali ya amani hata baada ya uchaguzi wa Congo. Wanafunzi waandamana wakifuata vikundi vya mabadiliko Lucha na Veranda Muchanga kupinga hali ya furungu katika jimbo la Beni