Ongezeko la ushuru kuathiri uchumi wa Mexico na USA

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Marekani na Mexico wameonya kwamba iwapo hatua ya kuongeza ushuru kwa bidhaa za Mexico, itaanza kutekelezwa, itaathiri uchumi wa mataifa hayo mawili