Duniani leo June 5, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Marekani na Mexico wameonya kwamba iwapo hatua ya kuongeza ushuru kwa bidhaa za Mexico, itaanza kutekelezwa, itaathiri uchumi wa mataifa hayo mawili. Rais Donald Trump anatembelea kituo cha jeshi la majini cha Portsmouth, kusini mwa Uingereza, moja ya maadhimisho ya siku D day