Sudan kuitisha uchaguzi mwezi wa tisa

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa baraza la mpito la kijeshi linalotawala Sudan amefuta makubaliano alofikia pamoja na waandamanaji na upinzani na kuitisha uchaguzi mkuu katika kipindi cha miezi 9 ijayo.