Baadhi ya migahawa ya DC yatoa huduma ya futari

Your browser doesn’t support HTML5

Migahawa ya Washington DC, inafanya juhudi kubadili mwenendo wao wa kutoa huduma kwa wateja ili kuhakikisha kuwa waislamu ambao wanafunga katika mwezi huu mtukufu, nao pia wanatiliwa maanani katika kupata vyakula kwenye migahawa hiyo