Uchaguzi wa wabunge wa umoja wa Ulaya

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa kisiasa wa Ulaya wamekutana wiki hii mjini Brussels kujadili matokeo ya uchaguzi wa EU na uwezekano wa wagombea kujaza nafasi ya Jean Claude Juncker, kama rais wa tume ya Ulaya.