Waathirika wa madawa kulevya waombwa kusaidiwa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Watafiti katika masuala ya afya kutoka Taasisi ya Tafiti ya Scripps hapa Marekani, wanaendelea na tafiti za chanjo za kuzuia uraibu wa Dawa za Kulevya ambayo inaelezwa kuwa itakua njia muhimu katika kuzuia matumizi ya Dawa hizo.