Duniani Leo May 29, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wa uchumi na biashara wa kimataifa wanasema sera ya Marekani ya kuongeza ushuru kwa bidhaa, inaathiri uchumi wa Marekani pamoja na waMarekani kwa jumla. ais wa Nigeria muhamadu buhari anaanza awamu yake ya pili ya utawala leo baada ya kuapishwa katika mji mkuu Abuja.