Marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki kuanza June mosi Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Tanzania, zikiwa zimebaki siku sita kabla ya Marufuku ya mifuko ya Plastiki kuanza tarehe 1 mwezi Juni, Serikali imeendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha marufuku hiyo inatekelezwa kikamilifu.