Theresa May ajiuzuru

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Uingereza,Theresa May ametangaza hivi leo Ijumaa kuwa atajiuzulu katika wadhifa huo baada ya kushindwa mara tatu kuwashawishi wabunge kuunga mkono juhudi zake za makubaliano ya Brexit ambapo taifa hilo lingejitoa kabisa katika Umoja wa Ulaya