Duniani Leo May 22, 2019.

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wanawake nchini Marekani waandamani wakipinga sheria mpya za utoaji mimba zilizopitishwa na baadhi ya majimbo nchini humo. Na wa Cameroon wagutumia teknolojia kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi wa mazao