Kampuni ya madini ya Acacia North bado iko kimya
Your browser doesn’t support HTML5
Siku moja baada ya kupigwa kwa faini ya shilingi bilioni 5.6 kwa uchafuzi wa mazingira katika Mgodi wake uliopo kaskazini mwa Tanzania kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia North Mara nchini Tanzania bado haijatoa tamko lolote kuhusu faini hiyo.