Kenya haifanyi majaldiliano ya pesa na walioteka maktari wa Cuba
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya, amesema serikali yake haitofanya majadiliano ya malipo na watekaji wa madktari wa Cuba. Hata hivyo alisema wanafanya mazungumzo ya kuwakomboa.