Ripoti ya Muller huenda ikaleta utata wa ukiukwaji wa katiba
Your browser doesn’t support HTML5
Wabunge wa Democratic wanasema utawala wa Trump kukataa kutoa taarifa za ziada na ushahidi kuhusiana na ripoti ya mwendesha mashtaka maalum Robert Mueller kumeingiza Marekani katika mzozo wa kikatiba