Video Joe Biden katika kinyang'anyiro 17 Mei, 2019 Your browser doesn’t support HTML5 Makamu wazamani rais wa Marekani Joe Biden yuko katika nafasi ya juu miongoni mwa wademokrati wanaowania uteuzi wa kugombea urais mwaka 2020.