Waandamanji Sudan wakilaani hatua ya TMC kuharakisha mazungmzo
Your browser doesn’t support HTML5
Mungano wa vyama vya upinzani vya Sudan vinaeleza hii leo kwamba uwamuzi wa baraza la utawala la kijeshi TMC kuahirisha mazungumzo kwa siku tatu ni uwamuzi wa kusikitisha huku waandamanaji wakilaani hatua hiyo.