Magonjwa wa Endometriosis na madhara yake

Your browser doesn’t support HTML5

Uchungu wakati wa hedhi ni kawaida kwa wanawake wengi, hata hivyo uchungu huo unapokuwa kabla, wakati na hata baada ya hedhi basi kuna sababu ya kuwa na hofu. Hali hii hufahamika kwa lugha ya kiingereza kama endometriosis na wanawake wengi ulimwenguni wameathirika na ugonjwa huo bila wao kujua