Uchaguzi wa kiti cha Meya wa jiji la Istanbul chaleta utata Uturuki
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanasiasa wa Uturuki, Ekrem Imamoglu alitikisa siasa za nchi hiyo aliposhinda umeya wa Istanbul nchini Uturuki, na kumaliza utawala wa takriban miaka 25 wa chama cha rais Recep Tayyip Erdogan.