Trump afuturisha Ikulu

Your browser doesn’t support HTML5

Wawakilishi wa jamii ya waislamu wa Marekani wanasema kutoalikwa kwa karamu ya Iftar iliyoandaliwa na Rais Doland Trump kwenye White House ni dalili ya mvutano uliyopo kati yao na rais.