USA yapeleka vifaa vya kivita Mashariki ya kati

Your browser doesn’t support HTML5

Meli ya Marekani ya kubeba ndege na vifaa vya kivita, USS Abraham Lincoln, pamoja na ndege kadhaa muundo wa B-52, zimewasili Mashariki ya kati baada ya kuibuka kwa wasiwasi kwamba huenda Iran inanuia kufanya mashambulizi, yakilenga vyombo vya Marekani na washirika wake