Duniani Leo May 10, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Meli ya Marekani ya kubeba ndege na vifaa vya kivita, USS Abraham Lincoln, pamoja na ndege kadhaa muundo wa B-52, zimewasili Mashariki ya kati kujibu mashambulizi pindi Iran itapoamua kufanya mashambulizi. Chama cha ANC cha Afrika kusini chaongoza kwenye matokeo ya kura za awali.