Utata wa Trump na wabunge wa Democratic wafikia hatua mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Republican na Democratic hapa marekani wanapingana kuhusu namna ya kufanya kuhusu uchunguzi wa mwendesha mashtaka maalumu kuhusu kampeni ya rais Donald Trump na shutuma za uhusiano na Russia.