Mitandao ya kijamii na umuhimu wake kwenye siasa

Your browser doesn’t support HTML5

Tuangalie habari za kisiasa hapa Marekani, ambapo inaelezwa kuwa, Mtandao wa twitter ulitumiwa sana wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais mwaka 2016 nchini Marekani hasa kwa sababu aliyekuwa mgombea kiti cha rais Donald Trump aliutumia kwa mjadala wa kisiasa