Duniani Leo May 9, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa afya wanapambana na ugonjwa wa kipindupundu nchini Msumbiji , ugonjwa huo uliozuka baada ya nchi hiyo kupingwa na vimbunga vya Kenneth na Adai .Wananchi wa Afrika Kusini Leo wamepiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.