Kesho ni uchaguzi wa Afrika Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Afrika kusini kesho watashiriki katika uchaguzi ambao unafanyika tena miaka 25 tangu kumalizika kwa enzi ya ubaguzi na huenda ukawa na changamoto kubwa kwa chama tawala cha African National congress.