Duniani Leo May 7, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Manusura wa ajali ya boti katika ziwa Kivu Mashariki mwa Congo wameiomba serikali kuwapa vifaa vya kujikinga pindi ajali zitokeapo kwenye ziwa hilo. Wananchi wa Afrika kusini kupiga kura kesho , katika uchaguzi ulikuwa na ushindani mkali.