Viongozi wa kidini na kijamii wapinga marupurupu ya wabunge Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa mashirika ya kijamii Mombasa , na viongozi wa kidini walalamikia nyongeza za marupurupu wanayopata wabunge na maseneta . Hussen Khalid mkurugenzi wa haki Afrika, Mwarua Nziwi afisa wa Human Rights Agenda, pamoja na Sheikh Juma Ngao walikuwa ni baadhi ya viongozi waliozungumza na VOA