Duniani Leo May 6, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Kamanda wa majeshi kusini mwa Libya Khalifa Haftar, awahimiza wanajeshi wake kuendelea na mapigano na wanajeshi wa serikali ili kutwaa mji wa Tripoli. Wananchi wa Afrika ya Kusini wanajiandaa kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Mei 8, mwaka huu.