Mapambano yaendelea Libya

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano yanayoendelea Libya kati ya serikali inayotambuliwa kimataifa mjini Tripoli na kundi linaloongozwa na Jenerali muasi, yamewakosesha makazi maelfu ya watu, wengi wao wakifurika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli wakitafuta hifadhi.