Mei 3 ni siku ya Uhuru wa vyombo vya habari

Your browser doesn’t support HTML5

Waandishi wa habari Afrika wanaungana na waandishi wa habari duniani kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, kwa kuelezea changamoto wanazokutana nazo.