Uwanja wa ndege wa Reagan waendesha zoezi la kukabiliana na majanga.

Your browser doesn’t support HTML5

Uwanja wa ndege wa Reagan National uliopo Washington D.C. umeendesha zoezi la kukabiliana na majanga, na jinsi ya kujinasua pindi ajali zitokeapo.